Mti wa uzima
Mandhari
Mti wa uzima (kwa Kiebrania עֵץ הַֽחַיִּים, Etz haChayim,) ni mfano unaotumiwa na Biblia.[1]
Katika kitabu cha Mwanzo, mti wa uzima unapatikana katika mstari 2:9 kama mti uliopandwa na YHWH Elohim (יְהוָה אֱלֹהִים) karibu na mti wa ujuzi wa mema na mabaya (עֵץ הַדַּעַת) "katikati ya bustani ya Eden".[2]
Katika 3:24 imeandikwa kwamba baada ya dhambi ya asili kerubi analinda njia inayofikia mti wa uzima.
Kitabu cha Mithali kinatumia jina hilo mara nne (3:18, 11:30, 13:12 na 15:4).
Hatimaye Kitabu cha Ufunuo kinatumia usemi wa Kigiriki ξύλον (τῆς) ζωής, xylon (tēs) zōës, mara nne vilevile (2:7, 22:2, 22:14 na 22:19.
Kwa kawaida Wakristo wamechukua usemi huu kama wa fumbo kwa msalaba wa Yesu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Encyclopaedia Britannica. Encyclopaedia Britannica Online (2013). "world tree". Encyclopædia Britannica Inc.
- ↑ Mettinger 2007, pp. 5–11
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Entheomedia.org Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Chrismons and fleur de lis Ilihifadhiwa 11 Septemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Ancient Egypt, the tree of life
- Colin Low's Notes on Kabbalah - The Tree of Life
- Donmeh West Ilihifadhiwa 2 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Kheper's Kabbalah Page
- Work of the Chariot
- The Isometric Sephiroth: The Forgotten Correspondences Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Etz Hhaim: The Tree of Life: The Original Tree of the Sepher Yetsira
- Mettinger, Tryggve (2007). The Eden Narrative: A Literary and Religio-historical Study of Genesis 2-3. Eisenbrauns. ISBN 9781575061412.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mti wa uzima kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |