Grand Theft Auto
Mandhari
Grand Theft Auto (GTA) ni mfululizo wa michezo iliyoundwa na David Jones na Mike Dailly. Michezo hii iliundwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games. Jina la mfululizo linaelezea neno ambalo linatumika Marekani kwa wizi wa magari.
Mfululizo wa Grand Theft Auto umewekwa kwa vipindi tofauti vya muda. Grand Theft Auto awali iliingizwa katika miji mikuu mitatu: Liberty city (kulingana na maeneo ya mji wa New York), Vice City, na San Andreas (kulingana na maeneo mengi ya California).
Michezo ya GTA inaweza kuchezeka katika vifaa vifuatavyo:
- Android
- Dreamcast
- Fire OS
- Game Boy Advance
- Game Boy Color
- iOS
- macOS
- Microsoft Windows
- MS-DOS
- Nintendo DS
- PlayStation
- PlayStation 2
- PlayStation 3
- PlayStation 4
- PlayStation Portable
- Windows Phone
- Xbox
- Xbox 360
- Xbox One
Mfululizo wa Grand Theft Auto
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |