Matumizi ya AI (Artificial Intelligence) yana umuhimu mkubwa ikiwa ni pamoja na; Kuboresha Ufanisi wa Kazi Uboreshaji wa Huduma Kuchambua Takwimu Kufikia Watu Wengi Kwa ujumla, AI ni chombo chenye nguvu cha kuongeza uwezo na kufanikisha malengo na kwa ufanisi zaidi. Vipi wewe na team yako ni Ujuzi gani wa kidijitali mnatamani kuufahamu? #SkillingTamzania #MitandaoNaSisi #SautiZao #TechWomenTZ
LP Digital
Technology, Information and Internet
LP Digital provides capacity-building & advocacy programs on digital inclusion, skills development, and gender equality.
About us
LP Digital is a digital arm of The Launchpad Tanzania, an NGO targeting youth and women in the areas of skills development, education, creative industries, climate change, and digital inclusion for socio-economic development. Our main focus is on capacity building through training and learning programs and advocacy through digital advocacy and digital storytelling.
- Website
-
https://www.lpdigital.or.tz/
External link for LP Digital
- Industry
- Technology, Information and Internet
- Company size
- 11-50 employees
- Headquarters
- Dar es Salaam
- Type
- Nonprofit
- Founded
- 2017
Locations
-
Primary
4 Juma Ikanga
Dar es Salaam, TZ
Employees at LP Digital
Updates
-
Kwa mshikamano wa timu na uwezo wa kuendana na mabadiliko, hakuna linaloshindikana. Tumejifunza, tumekua, na sasa ni wakati wa kusukuma mbele mipaka. Endelea kuwa nasi! #SkillingTanzania #DigitalTanzania #SautiZao #TechWomenTZ #MitandaoNaSisi
-
Wekeza kwa mtoto wako kupitia Form Four Graduates Digital Bootcamp! Masomo yataanza tarehe 7 Januari 2025 na yataendelea kwa muda wa wiki nane. Programu hii itasaidia mtoto wako: • Kuwa tayari kwa ajira za kidijitali za siku zijazo. • Kuimarisha ubunifu na ujuzi wa kiteknolojia. • Kuwa na msingi thabiti wa teknolojia na masoko ya kidijitali. #SkillingTanzania #DigitaTanzania #MitandaoNaSisi #DigitalLiteracy
-
Mwaka #2024 umetufundisha kuwa na juhudi kubwa na jitihada bila kukata tamaa huzaa matokeo yenye thamani. Kuna nyakati za kusimama, kutazama nyuma, na kusherehekea mafanikio tuliyoyapata kwa pamoja kama timu. @thelaunchpadtz furaha yetu ni kuona walengwa wetu wakinufaika na kazi zetu. #SkillingTanzania #SautiZao #DigitalTanzania #TechWomenTZ #MitandaoNaSisi #SheTechTZ #DigitalSkills
-
Katika msimu huu wa mwisho wa mwaka, sherehe zinaweza kuwa wakati wa furaha, lakini pia kuna changamoto zinazoweza kuibuka, hasa ukatili wa mtandaoni. Usikubali kuwa mwathirika bila msaada. Piga simu kwetu kwa msaada wa haraka: ✔️Kupata ushauri wa hatua za kuchukua baada ya ukatili wa mtandaoni. ✔️Msaada wa kisheria ili kulinda haki zako. ✔️Usaidizi wa kisaikolojia kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili. Tembelea: www.lpdigital.or.tz Au piga simu sasa: +255 676 333 935 Furahia sherehe zako kwa usalama na utulivu! #MitandaoNaSisi #OnlineSafety #DigitalTanzania #CyberSecurity
-
Empower your child with essential digital skills for the future! 💻 Learn coding, AI, and digital marketing. 📌 Register now to secure a spot! Registration link 👇🏽 https://lnkd.in/dmfzbgtt #SkillingTanzania #DigitalSkills #Form4BootCamp #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania #DigitalLiteracy #DigitalInclusion
-
Season’s greetings to all internet users! Wishing you a Christmas filled with peace, love, and success. Keep using technology to connect, inspire, and make a positive impact. Merry Christmas and a prosperous New Year ahead! #MerryChristmas #SeasonOfJoy #MitandaoNaSisi
-
As we wrap up 2024, we’re beyond grateful for everything our team has accomplished this year. If teamwork were a person, @TheLaunchPadTZ would be its name! Here’s to more milestones, growth, and impact ahead. #MitandaoNaSisi #SkillingTanzania #DigitalTqnzania #Gratitude #TeamworkMakesTheDreamWork
-
USEMI HUU UNAUKWELI NDANI YAKE? Wanawake ndio watumiaji wakubwa wa mitandao ya kijamii? #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania #SkillingTanzania #CocoNaDenge
-
#TBT January this year, our #Form4BootCamp brought together a unique class where we learned from each other, creating inspiring and innovative success stories. Registration for the 2025 intake is ongoing! Join us and be part of this journey of learning and success. https://lnkd.in/dmfzbgtt #LearningTogether #InspiringSuccess #DigitalSkills #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania #DigitalRightsTZ #SkillingTanzania