Marine Le Pen (amezaliwa Neuilly-sur-Seine, 5 Agosti 1968) ni mwanasiasa wa Ufaransa.

Marine Le Pen

Marine Le Pen, rais wa Front kitaifa (Januari 2011)

2. rais wa Front kitaifa
Aliingia ofisini 
16 Januari 2011
mtangulizi Jean-Marie Le Pen

Mwanachama wa Bunge la Ulaya
Aliingia ofisini 
14 Julai 2009
Constituency Kaskazini-Magharibi Ufaransa
Muda wa Utawala
20 Julai 2004 – 13 Julai 2009
Constituency Île-de-France

tarehe ya kuzaliwa 5 Agosti 1968 (1968-08-05) (umri 56)
Neuilly-sur-Seine (92)
utaifa Ufaransa
Fani yake Mwanasheria
tovuti http://www.marinelepen2012.fr/

Maisha

hariri

Binti mdogo wa Jean-Marie Le Pen, alifanya kazi kama mwanasheria kati ya miaka 1992 na 1998, mwanachama wa Bunge la Ulaya tangu mwaka 2004, rais wa chama cha kisiasa cha Front National tangu tarehe 16 Januari 2011.[1]

Marejeo

hariri

Maisha yake alivyoyaandika mwenyewe

hariri
  • (Kifaransa) À contre-flots, éd. Jacques Grancher, coll. "Grancher Depot", Paris, 2006, 322 p., broché, 15 x 22 cm

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marine Le Pen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.